Jumuiya ya Afrika Mashariki kusaka fursa DRC

Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Biashara ya jumuiya hiyo (EABC), Bw.John Bosco Kalisa.

Viongozi Wakuu wa biashara kutoka nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki, wanapanga kufanya ziara ya kibiashara kueleka nchi ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo mapema mwezi ujao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS