Kisa majeraha Varabe astaafu soka

Beki wa zamani wa Real Madrid, Manchester united na timu ya taifa ya Ufaransa Rafael Varane ametangza kustaafu kucheza soka leo Septemba 25, 2024 akiwa na umri wa miaka 31. Amestaafu kutokana na majeraha ya goti.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS