Mume amuua mke wake nayeye kujiua

Watu wawili ambao ni mke na mume wamefariki dunia baada ya mume kudaiwa kumuua mkewe kisha naye kujiua katika Kijiji cha Njirii Halmashauri ya Itigi wilayani Manyoni Mkoani Singida huku chanzo kikidaiwa kuwa ni ugomvi wa kifamilia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS