Shekhe Alhad Mussa Salum, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na amani Tanzania.
Viongozi kuanzia ngazi ya jamii wametakiwa kutowakumbatia watekaji, wakatili na wauaji kwenye jamii ili kupunguza matendo yanaendelea kwenye nchi yetu kwani yamekuwa yakitokea kila siku maeneo mbalimbali nchini.