Mwili wa mtoto aliyezama ziwani waopolewa

Mwili wa mtoto Rwegasila Jackson (14) aliyekuwa mkazi wa wilaya ya Muleba mkoani Kagera aliyezama kwenye maji ya Ziwa Victoria wakati akiogelea na wenzake kwenye fukwe za Gymkana umeopolewa leo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS