Ahukumiwa jela kwa kumbaka bibi wa miaka 79
Mahakama ya wilaya ya Momba leo Oktoba 2, 2024 imemhukumu miaka 30 jela Bahati Sichalwe mwenye umri wa miaka 33 mkazi wa kijiji cha Chiwanda wilayani Momba mkoani Songwe kwa kosa la kumbaka bibi wa miaka 79.