Azam Fc na KMC kuonesha ubabe kesho Kocha Mkuu wa Azam FC, Rachid Taoussi amesema kikosi chake kipo imara na wanaenda kutafuta alama tatu ugenini dhidi ya KMC FC, kesho. Read more about Azam Fc na KMC kuonesha ubabe kesho