Mtoto, Mke wa Mbowe Waachiwa Mtoto mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe (Nicole Mbowe) ambae alikamatwa na jeshi la polisi ameachiliwa mara baada ya kukamatwa maeneo ya Magomeni alipokuwa na baba yake wakati wa maandamano. Read more about Mtoto, Mke wa Mbowe Waachiwa