TAKUKURU watakiwa kuwa mfano kwenye kutenda haki
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu ameitaka TAKUKURU kuwa mfano kwa kujipambanua kutenda haki na kuonesha uadilifu katika jamii huku akisisitiza kuwa hatua kali zitachukuliwa kwa mtumishi yeyote atakayebainika kuwa sio muadilifu.