Washauriwa kufanya vipimo kupata matibabu haraka
Wanawake walio katika umri wa miaka 30-40, wametakiwa kupima Afya zao mara kwa mara ili kama kuna tatizo kwenye mifumo yao ya uzazi iweze kutibiwa kwa haraka kuliko kusubiri tatizo kuwa kubwa na kusababisha madhara na gharama kubwa za matibabu.