Vijiji 279 kati ya 306 Kigoma tayari vina umeme
Serikali imesema kwamba jumla ya vijiji 279 kati ya vijiji 306 mkoani Kigoma tayari vimeunganishwa na nishati ya umeme na kusisitiza kuwa safari ya kupeleka umeme katika vitongoji imeanza na kwamba jumla ya shilingi bilioni 100 zimetumika kupeleka umeme katika vijiji vilivyopo mkoani humo