Boni Yai aendelea kubaki rumande

Kada wa CHADEMA Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai ataendelea kubaki mahabusu baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kushindwa kutoa uamuzi wa pingamizi la dhamana dhidi yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS