Mwili wa askari aliyepotea waokotwa msituni

Mwili wa Askari namba NV 1630 SGT HAJI Machano Mohamedi wa kikosi cha Valantia (KVZ) Makao Makuu Mtoni Zanzibar aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha umeokotwa kwenye msitu uliopo karibu na kambi ya chuo hicho ukiwa umeharibika vibaya

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS