Mwili wa mwanamke wakutwa shambani hauna kichwa Polisi katika kaunti ya Kakamega nchini Kenya wanachunguza tukio la kutisha ambapo mwili wa mwanamke mmoja umekutwa bila kichwa katika shamba la mahindi , katika kijiji cha Ebusang’ang’a . Read more about Mwili wa mwanamke wakutwa shambani hauna kichwa