Real Madrid waifata PSG na kikosi cha wachezaji 26
Kocha wa Real Madrid Carlo Anceltti amesafiri na kikosi cha wachezaji 26 kuelekea nchini Ufaransa tayari kwa mchezo wa hatua ya 16 bora ya Ligi ya mabingwa barani ulaya dhidi ya PSG, na kwenye kikosi hicho mshambuliaji Karim Benzema amejumuhishwa baada ya kukosa michezo 3 iliyopita.


