Tanzia: Msanifu Kondo afariki Dunia (Marehemu Msanifu Kondo enzi za Uhai wake,) Katibu wa Chama Cha Soka Jijini Dar es Salaam, Msanifu Kondo amefariki dunia Asubuhi ya leo Jumatatu Februari 14, 2022 wakati alipokuwa anapelekwa Hospitali ya taifa Muhimbili kwa ajili ya matibabu. Read more about Tanzia: Msanifu Kondo afariki Dunia