John Bocco awahakikishia mashabiki Ushindi, Leo
Mabingwa wa Tanzania Bara na wawakilishi wa pekee kwenye michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika Simba SC wanashuka dimbani leo jioni kucheza mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast.


