Watu 17 waangukiwa na Kanisa

Kanisa lililoanguka

Watu 17 wakazi wa kijiji cha Kakola kata ya Minkoto, waumini wa Kanisa la Baptist wilayani Chato wamenusurika kifo baada ya kuangukiwa na Kanisa wakiwa kwenye ibada ya Jumapili.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS