Watano Simba SC kuikosa ASEC Mimomas CAFCC
Wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa, klabu ya Simba inataraji kushuka dimbani Februari 13, 2022 kucheza mchezo wake wa kwanza wa hatua ya Makundi dhidi ya ASEC Mimomas ya nchini Ivory Coast.