Polisi Mbeya wakana kumkamata kada wa CHADEMA

Mdude Nyagali

Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya, limekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zinazodai Askari Polisi wamehusika na tukio la kuvamia na kumjeruhi Mpaluka Said Nyagali maarufu kama Mdude Nyagali na kisha kutoweka naye.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS