Kamati za Bunge zikapige picha kwenye daraja-Silaa
Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Silaa, ameipongeza serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kazi yake hasa ukamilikaji na kuanza kutumiaka kwa daraja la Tanzanite na kuziomba kamati za Bunge za mwezi Machi kufanya ziara na kupiga picha.