Silaa atamani Aweso apewe PhD kama ya Musukuma
Mbunge wa jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam, Jerry Silaa, amempongeza Waziri wa Maji Jumaa Aweso, kwa utendaji wake mzuri katika sekta ya maji na kudai kwamba wale wanaotoa PhD kama aliyopata mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma, punde na yeye watampatia.