Mwanamke akwama kwenye mashine ya kufulia nguo Mwanamke akiwa ndani ya mashine ya kufulia Video imesambaa mitandaoni ikimuonesha mwanamke mmoja akiwa amekwama ndani ya mashine ya kufulia nguo, bila kujulikana aliingia vipi kwenye mashine hivyo. Read more about Mwanamke akwama kwenye mashine ya kufulia nguo