Polisi aliyejinyongea mahabusu alikuwa peke yake
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini SACP David Misime, amesema Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi mkoani Mtwara Grayson Mahembe aliyejinyonga kwa dekio, alikuwa amewekwa kwenye mahabusu ya peke yake na wenzake walipelekwa kwenye mahabusu za Lindi ili wasiharibu ushahidi uliokuwa unakusanywa