Abramovich awapa Raine Group kuiuza Chelsea (Mmiliki wa klabu ya Chelsea Roman Abramovic) Mmiliki wa klabu ya chelsea Roman Abramovich ameiweka rasmi sokoni timu hiyo na ameiagiza benki ya Marekani ya Raine Group kushughulikia na kusimamia mauzo ya Chelsea. Read more about Abramovich awapa Raine Group kuiuza Chelsea