TFF yakana kumshitaki kiongozi wa soka Polisi
Baada ya kuwepo kwa taarifa zinazosambaa kuwa Shirikisho la soka nchini TFF imemfungulia mashtaka Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba SC Barbara Gonzalez mamlaka hiyo ya soka Nchini imesema haijamfungulia kesi kiongozi yoyote wa soka.