Sabaya adai hakupewa haki ya kusikilizwa
Aliyewahi kuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, wakati akiendelea kutoa ushahidi wake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, amedai kwamba hakuwahi kupewa haki ya kusikilizwa juu ya tuhuma zinazomkabili badala yake alivamiwa na kutengenezewa kesi ya uongo.