Chenge ampongeza Dkt. Tulia kwa kuchaguliwa
Aliyewahi kuwa mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge, amempongeza mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, kwa kuchaguliwa na Kamati Kuu ya CCM kuwa mgombea pekee wa kiti cha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.