Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Kibaha Sara Msafiri, na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe
Mkuu wa wilaya ya Kibaha Sara Msafiri, ameliagiza jeshi la polisi kutofungia kiwanda chochote bali wawawezeshe wahusika na kuwapatia elimu na namna ya kuongeza tija katika uzalishaji wao.