Wafukuaji waondoka na mwili wa mtoto
Mwili wa mtoto Christian Samson (1), aliyezikwaa siku ya Jumapili katika makaburi ya kitongoji cha Kipondoda wilayani Manyoni mkoani Singida, umefukuliwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana licha ya ndugu kuutafuta bila mafanikio.