Wanaotuhumiwa kula nyama za watu wakamatwa Pingu Polisi Kaskazini Magharibi mwa Nigeria katika jimbo la Zamfara, wamesema kuwa wamewakamata watu wanne wanaotuhumiwa kula nyama za watu na kuuza viungo vya binadamu. Read more about Wanaotuhumiwa kula nyama za watu wakamatwa