Watu watano wakiwemo waandishi wafariki
Watu watano wakiwemo waandishi wa habari wamefariki katika ajali ya gari huku wengine wakijeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari mawili kugongana uso kwa uso wilayani Busega mkoani Simiyu asubuhi ya leo Januari 11, 2022.