Mbunge asimamishwa kwa kugawa pipi Bungeni Pipi Mbunge mmoja mwanamke nchini Kenya amesimamishwa kuhudhuria vikao vya Bunge kwa siku moja kwa kosa la kusambaza pipi kwa wabunge wenzake wakati wa mijadala muhimu bungeni. Read more about Mbunge asimamishwa kwa kugawa pipi Bungeni