Nyumba 21, madarasa matatu vyaezuliwa na upepo
Zaidi ya nyumba 21 na madarasa matatu ya shule ya msingi Kalengakule zimeezuliwa na upepo uliombatana na Mvua na kusababisha wananchi kukosa makazi katika kata ya Kalengakule tarafa ya Mlimba wilaya Kilombero mkoani Morogoro.