Polisi Arusha wapiga marufuku mambo haya kesho
Jeshi la Polisi Arusha katika kusherehekea sikukuu za Krismasi, limewataka wamiliki wa bar kuzingatie masharti ya leseni zao zinaonesha muda wa kufunga na kwamba wamiliki wa kumbi na maeneo ya starehe wahakikishe hawajazi watu kupita kiasi kwa sababu za kiafya ikiwamo tahadhari ya Corona.