"Nimechoka kuonekana miyayusho" - Gigy Money Picha ya msanii Gigy Money Msanii Gigy Money 'Mama Mayra' anasema amechoka kuonekana miyayusho kama baadhi ya watu wanavyomchukulia na kwa sasa anataka kuwa serious. Read more about "Nimechoka kuonekana miyayusho" - Gigy Money