Kauli aliyoambiwa Lulu Diva na mama yake mzazi

Picha ya Lulu Diva akiwa na mama yake mzazi

Lulu Diva anasema mama yake alikuwa anampa sapoti kubwa kwenye mambo anayoyafanya pia alikuwa anatamani kufanya vitu vingi lakini hali ya afya na umri ulikuwa haumruhusu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS