Ijue sababu ya Mwanri kuamrisha shamba livurugwe
Balozi wa zao la pamba nchini Aggrey Mwanri, ameamrisha shamba la Jeremia Kisumo na Laher Robert wakazi wa Mshinde, Kata ya Bung’wangoko, mkoani Geita livurugwe na waanze kupanda upya zao hilo, baada ya kupanda bila kufuata mistari kama ambavyo serikali imewaelekeza.