Tunda avunja ahadi yake ya kujiua 

Picha ya Cappuccino Tunda

Mchumba wa msanii Whozu Cappuccino Tunda amevunja ahadi yake ya kutaka kujiua endapo asipoolewa mwaka huu kwa sababu kuna vitu vimemshawishi kwenye maisha ya u-single.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS