Uza sura na sauti kwa Milioni 459
Kama bado hujapata pesa ya kulia bata Christmas na mwaka mpya basi mkwanja huu hapa, kampuni ya kutengeneza maroboti nchini Urusi imetoa ofa ya Tsh million 459 kwa mtu atakayekubali sura na sauti yake itumike kutengenezea roboti.