Klay Thompson kucheza NBA G league (KLay Thomson akiwa anapiga jeramba) Mchezaji wa Golden States Warriors, Klay Thompson amejiunga na timu shirikishi ya Santa Cruz Warriors iliyopo NBA G League, ilikupata utimamu wa mwili baada ya kuchanika misuli msimu wa mwaka 2019/2020. Read more about Klay Thompson kucheza NBA G league