Rais amchagua Rihanna kuwa shujaa

Picha ya msanii Rihanna

Mwanamziki Rihanna ameandika historia mpya siku ya leo baada ya kutangazwa kuwa shujaa wa taifa la Barbados katika tukio kubwa la taifa hilo kutangazwa kuwa serikali huru inayojitegemea baada ya kuwa chini ya utawala wa Malkia Elizabeth wa Uingereza kwa zaidi ya miaka 55.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS