Waziri Mchengerwa,Tanzania kucheza Kombe la Dunia

(Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohammed Mchengerwa)

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amesema Tanzania inatarajia kushiriki kwenye mashindano ya Kombe la Dunia baada ya kumalizika mashindano ya mwaka huu 2022 yanayofanyika Qatar kutokana na mikakati kabambe ya maandalizi inayoendelea hivi sasa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS