Ally Hapi awalalamikia Wakuu wa Idara

Mkuu wa mkoa wa Mara Ally Hapi

Mkuu wa mkoa wa Mara Ally Hapi amesema wakuu wa idara katika Halmashauri mbalimbali za mkoa huo ikiwemo Bunda na Tarime wanawakwamisha viongozi wakiwemo wakuu wa wilaya na wakurugenzi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS