Rais Museveni kumkabidhi Rais Samia shule Chato
Rais wa Uganda Yoweri Museveni anatarajia kuwasili wilayani Chato Novemba 29, 2021 kwaajili ya kumkabidhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan shule ya msingi Museveni ya mchepuo wa Kiingereza iliyojengwa na serikali ya Uganda.