Waziri Bashungwa:Tuache ushabiki tushangilie Simba

(Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa)

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa amesema pindi vilabu vyetu vikiwa vinawakilisha nchi Kimataifa basi tuache ushabiki na kuziunga mkono ili ziendelee kufanya vema.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS