Namna Yanga walivyobaini figisu za Wapinzani

(Afisa Msemaji wa Yanga, Hassan Bumbuli)

Afisa Msemaji wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema wameshtukia janja janja zinazopangwa na wapinzani wao juu ya wachezaji wao ili wakosekane kwenye mchezo ujao dhidi ya Simba Disemba 11.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS