Ndama wanyweshwa uji badala ya maziwa
Wafugaji wa jamii ya Kimaasai waliopo Chalinze, Kata ya Ubena mkoani Pwani, wanalazimika kuwanywesha uji Ndama (Mtoto wa Ng'ombe) wao kufuatia maeneo wanayotumia kulishia mifugo kukumbwa na hali ya ukame na kusababisha ng’ombe kushindwa kutoa maziwa.