Mchezo wa KMC dhidi ya Biashara wasogezwa mbele
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania KMC FC dhidi ya Biashara United ya Mkoani Mara uliopangwa kuchezwa Ijumaa Februali 4, 2022 katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam, umesogezwa mbele na sasa utachezwa siku ya Jumamosi Februali 5, 2022 katika Uwanja wa Azam Complex saa 10:00 jioni.
