Misri kucheza fainali ya 10 AFCON
Mabingwa mara 7 wa michuano ya AFCON timu ya taifa ya Misri imefuzu hatua ya fainali ya michuano hiyo kwa ushindi wa mikwaju ya penati 3-1 dhidi ya wenyeji Cameroon kwenye mchezo wa nusu fainali. Waatacheza dhidi ya Senegal kwenye fainali Jumapili Februari 6

